KUNA mambo matatu yatatazamwa katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa leo Alhamisi kati ya Simba na Fountain Gate kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Mgombea urais kupitia Chama cha NCCR-Magezi, Haji Khamis ameahidi kusimamia maadili ya uongozi na kuwawajibisha viongozi watakaobainika kutumia ofisi za umma kwa manufaa binafsi, endapo atachaguliwa katika uchaguzi mkuu ujao.
MwananchiWakati Rais Donald Trump akisema kutambua taifa la Palestina ni “zawadi kwa Hamas,” viongozi wengine, akiwemo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, wameunga mkono kuanzishwa kwa taifa huru la Palestina.
Dar es Salaam. Wanasheria wa pande mbili katika mvutano wa umiliki wa nyumba iliyopo Mikocheni, Dar es Salaam, wamezungumzia undani wa mgogoro huo uliosababisha mali za mjane, Alice Haule na wapangaji wake kutolewa nje kwa nguvu.