Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amefikishwa polisi Arusha baada ya kukamatwa jana bungeni Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema Lema baada ya kufikishwa Arusha anahojiwa wa tuhuma za uchochezi.
Mkumbo amesema Lema ametoa kauli za uchochezi katika siku za karibuni na mahojiano yakikamilika atafikishwa mahakamani.
No comments:
Post a Comment
Subscribe My YouTube Channel Here:
https://www.youtube.com/channel/UCRdp...
Like My Facebook page:
https://www.facebook.com/lyizzmaker
Follow Me On Twitter:
https://www.twitter.com/habariyamjini
Follow Me on Instagram:
https://www.instagram.com/habariyamjini