Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kutokana na kushindwa kufika mahakamani hapo kusikiliza kesi yake.
Hati hiyo imetolewa leo(Alhamisi) na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya wakili wa Serikali, Patrick Mwita kuomba mahakama ifanye hivyo.
Pamoja na kwamba mdhamini wa Lissu aitwaye Robert Katula kueleza kuwa Lissu yuko Mwanza kwa ajili ya kesi nyingine hakimu Sima alitoa kibali kumkamata.
No comments:
Post a Comment
Subscribe My YouTube Channel Here:
https://www.youtube.com/channel/UCRdp...
Like My Facebook page:
https://www.facebook.com/lyizzmaker
Follow Me On Twitter:
https://www.twitter.com/habariyamjini
Follow Me on Instagram:
https://www.instagram.com/habariyamjini