Thursday, 4 September 2025

Uchaguzi Tanzania 2025: NCHIMBI AMTAKA MPINA KURUDI CCM


Mgombea mwenza wa Chama tawala nchini Tanzania, CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtaka mwanasiasa aliyeenguliwa kwenye nafasi ya kugombea urais kupitia chama cha ACT-Wazalendo Luhaga Mpina, kurejea mara moja CCM.

No comments:

Post a Comment

Subscribe My YouTube Channel Here:
https://www.youtube.com/channel/UCRdp...

Like My Facebook page:
https://www.facebook.com/lyizzmaker

Follow Me On Twitter:
https://www.twitter.com/habariyamjini

Follow Me on Instagram:
https://www.instagram.com/habariyamjini