Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza kitaifa
Ufaulu kwa mwaka 2018 umeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia 77.09 mwaka 2017 hadi asilimia 78.38.
Mwanafunzi Hope Mwaibanje kutoka Shule ya Sekondari Ilboru ya Arusha ameongoza kwa ufaulu matokeo ya kidato cha nne
Baraza limewafutia matokeo watahiniwa 252 wa kidato cha nne kutokana na udanganyifu, 71 wakiwa ni wa kujitegemea
Wanafunzi 351 kutika shule ya sekondari St Mathew na St Marcus wamezuiliwa matokeo yao kutokana na udanganyifu na matokeo hayo yatatolewa pindi NECTA itakapojiridhisha
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 57 wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Tumaini Lutheran Seminari ya Malinyi mkoani Morogoro baada ya kubaini shule hiyo kuvujisha mtihani huo.
Mbali na kufuta matokeo hayo, Necta imekifungia kituo hicho cha kufanyia mtihani.
Amesema wameagiza wahusika wote kuchukuliwa hatua wakiwemo polisi waliosimamia.
Matokeo ni haya hapa:
CSEE
LINK 1
LINK 2
MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 Link 1
MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 Link 2
Chanzo cha Habari
No comments:
Post a Comment
Subscribe My YouTube Channel Here:
https://www.youtube.com/channel/UCRdp...
Like My Facebook page:
https://www.facebook.com/lyizzmaker
Follow Me On Twitter:
https://www.twitter.com/habariyamjini
Follow Me on Instagram:
https://www.instagram.com/habariyamjini