Ofisi ya Rais - TAMISEMI inapenda kuutangazia Umma kuwa Serikali imetoa
kibali cha nafasi za ajira ya walimu ili kujaza nafasi wazi
zilizopatikana kutokana na walimu waliofariki, walioacha kazi,
waliofukuzwa utumishi na wastaafu kuanzia kipindi cha Julai, 2018 hadi
Juni, 2019. Kwa sababu hiyo, OR-TAMISEMI imeandaa mfumo wa Online
Teacher Employment Application System – OTEAS ambapo walimu wenye sifa
watatuma maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi cha OTEAS
Walimu wanaotakiwa kutuma maombi ni wenye sifa za kitaaluma kama ifuatavyo:
Walimu wanaotakiwa kutuma maombi ni wenye sifa za kitaaluma kama ifuatavyo: