Manchester City bado wanamtaka winga wa Brazil Rodrygo, mwenye umri wa miaka 24, ambaye Real Madrid wamemuwekea thamani ya takriban £69.3m (ESPN)
Hata hivyo, Arsenal pia wanamnyatia Rodrygo, huku Liverpool nao wakionesha nia kwa kuwa wanatafuta mbadala wa mshambuliaji wa Colombia Luis Diaz, 28, aliyehamia Bayern Munich mapema majira ya kiangazi haya. (Teamtalk)
Ange Postecoglou na Jose Mourinho ni miongoni mwa wanaoweza kupewa kazi ya kuinoa Nottingham Forest endapo Nuno Espirito Santo atafutwa kazi. (Sun)
Aston Villa wanaonekana kukosa fursa ya kumsajili mshambuliaji wa Senegal Nicolas Jackson, 24, kutokana na thamani ya Chelsea ya £70m kuwa kikwazo. (Sun).
Real Madrid wanamfuatilia kiungo wa Uingereza Adam Wharton, mwenye umri wa miaka 21, wa Crystal Palace. (AS - in Spanish)
No comments:
Post a Comment
Subscribe My YouTube Channel Here:
https://www.youtube.com/channel/UCRdp...
Like My Facebook page:
https://www.facebook.com/lyizzmaker
Follow Me On Twitter:
https://www.twitter.com/habariyamjini
Follow Me on Instagram:
https://www.instagram.com/habariyamjini